tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Mbona hata chaumma wako wanachama ambao ni mamluki wa ccm! Usipindishe huyo ametumwa na ccmHuyu jamaa ndo yule alotishia kwamba watakaondamana atadeal nao
Kupitia X wananchi wakiongozwa na Hilda Newton wameanza kufukua mafile yake.
Jina lake halisi ni Ibrahim Bakonzi. Kupitia ukurusa wake wa Facebook watu wameona kwamba pia ndio anamiliki akaunti ya Youtube yenye maudhui ya Kiislamu
Wanaotaka ushahidi wa picha huo hapo chini
View attachment 3506011
View attachment 3506010
View attachment 3506009
View attachment 3506008
Ni bangi huyu. Pale alikuwa kapewa tuhela na bwana mdogo wa Mama.. a.k.a GeneralHakuna sheikh hapo! Kwanza anaonekana dishi limeyumba kitambo tu.
Kitima mwanachama wa chadema?Huyu jamaa ndo yule alotishia kwamba watakaondamana atadeal nao
Kupitia X wananchi wakiongozwa na Hilda Newton wameanza kufukua mafile yake.
Jina lake halisi ni Ibrahim Bakonzi. Kupitia ukurusa wake wa Facebook watu wameona kwamba pia ndio anamiliki akaunti ya Youtube yenye maudhui ya Kiislamu
Wanaotaka ushahidi wa picha huo hapo chini
View attachment 3506011
View attachment 3506010
View attachment 3506009
View attachment 3506008
Huyu mjinga ni mvuta bangi mzuri sana na kuna kipindi alikuwa mkabaji sasa ndiyo anajifanya mhadhiri wa Kiislamu, watu kama hawa ndiyo wanaudharaulisha Uislam .masikini ya Mungu, ukimuangalia hali yake hadi huruma, angalia miguu yake, its a hard knock life ...
View attachment 3506015
Umeshawahi ona kadi yake au kwenye mkutano wa chadema?Kitima mwanachama wa chadema?
Unamfahamu bosi? Huyo ni member humu.Huyu mjinga ni mvuta bangi mzuri sana na kuna kipindi alikuwa mkabaji sasa ndiyo anajifanya mhadhiri wa Kiislamu, watu kama hawa ndiyo wanaudharaulisha Uislam .
Kitima mwanachama wa chadema?
Ndiyo namfahamu ni vile tu hairuhusiwi kutajana humuUnamfahamu bosi? Huyo ni member humu.