ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Inashangaza bado yupo Uraiani. Ni mpaka watu wachinjwe kufuata matamko yake ndio hatua itachukuliwa?Kafanana sana na Abubakari Shekau. Maneno aliyotamka ni hatari kwa usalama wa taifa ilipaswa awe anaisaidia polisi mpaka muda huu.
View attachment 3506166