Kafanana sana na Abubakari Shekau. Maneno aliyotamka ni hatari kwa usalama wa taifa ilipaswa awe anaisaidia polisi mpaka muda huu. View attachment 3506166
Huyu mjinga ni mvuta bangi mzuri sana na kuna kipindi alikuwa mkabaji sasa ndiyo anajifanya mhadhiri wa Kiislamu, watu kama hawa ndiyo wanaudharaulisha Uislam .
hata yeye ni victim pia, kama angewezeshwa kielimu kama wanavyowawezesha watoto wao na kupewa fursa ambayo ingempa full time job asingetumika kama anavyotumika B.Marley aliimba ''through political strategy, they keep us hungry, and when you gonna get some food, your brother got to be your enemy'' ...