koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
1. KUHUSU TAMAA
ZAO.
-Mwanamke yeyote
anaweza kukutamani
kimapenzi isipokuwa
Mama yako.
2. KUHUSU HULKA
ZAO.
-Wanawake wote
huonesha upendo wao
waziwazi isipokuwa wale
waliotendwa kabla.
3.KUHUSU KUACHANA.
-Mwanaume kumuacha
mwanamke
anayempenda ni kama
simba kuacha kula
swala, Mwanamke kumuacha mwanaume ni
rahisi kama swala
kumkimbia Simba mzee.
ZAO.
-Mwanamke yeyote
anaweza kukutamani
kimapenzi isipokuwa
Mama yako.
2. KUHUSU HULKA
ZAO.
-Wanawake wote
huonesha upendo wao
waziwazi isipokuwa wale
waliotendwa kabla.
3.KUHUSU KUACHANA.
-Mwanaume kumuacha
mwanamke
anayempenda ni kama
simba kuacha kula
swala, Mwanamke kumuacha mwanaume ni
rahisi kama swala
kumkimbia Simba mzee.