Kumbe ni Male!
Asante kwa taarifa mkuu.
Mkuu kwanini unapenda sana umbea?
Napenda kujua unaishi wapi na unajishughulisha na nini.
BTW huwa napenda style yako ya kutoa habari za umbea humu..
Huwa unanivunja mbavu sana.
Halafu kule kwenye siasa unanikosha sana kuwa upande wa JPM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulidhania wa kike waaaaaaa,[emoji445][emoji444]
Wakike,[emoji444][emoji445]
Tuliingia Cha kikee waaaaaaa
Cha kike,[emoji445][emoji445]
Kumbe warumi ni papaa Mobimba
Aisee dunia ina mambo!
Sawa mkuu tumejua leo kumbe wewe ni........****** Kidumeeeeeeeeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana Mkuu, sijawahi kumwambia lolote wala kuwa interested nae kutokana na Mabandiko yake, pia sipendi mlengo wa chama alichopo! Ila najua ni KICHWA SANA! Yuko very smart yaani! Angeamua angeweza kutikisa sana kwenye majukwaa ya siasa!
Kumbe we ni kidume cha Dar?
Mie nilikuwaga najua we ni ke halafu nilitaka kukutongoza inbox ili uwe mchepuko wangu wa kudumu ninapokuja Dar kuleta majeneza nipate pa kuwa nafikia kumbe kidume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ok unafanya biashara gani hapo mjini ? au bado unaishi kwenu?