Usiyoyajua kuhusu Warumi

Usiyoyajua kuhusu Warumi

Status
Not open for further replies.
Kumbe ni Male!

Asante kwa taarifa mkuu.

Mkuu kwanini unapenda sana umbea?

Watu wengi wanaokaa ughaibuni wanakua wapweke sana , njia rahis ya ku connect na watu ni through social media, ila pia ki ukwei nadhan ni fani yangu tu , na enjoy sana umbea yani [emoji16]
 
Napenda kujua unaishi wapi na unajishughulisha na nini.

BTW huwa napenda style yako ya kutoa habari za umbea humu..
Huwa unanivunja mbavu sana.
Halafu kule kwenye siasa unanikosha sana kuwa upande wa JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuhusu ninapokaa Njoo PM

Ahsante kama nakupaga raha binamu yangu[emoji23], I’m humbled
 
Ahhahahah daah binamu nimekumbuka enzi zile umeenda kulala kwenye msiba wa marehemu Adam Kuambiana, enzi za Lucy Komba na gauni lake la harusi utafikiri anapokea komunio. Kubwa kuliko enzi zako na Dina kuchambana na Matola; unachamba hadi unachanganyikiwa unajiquote mwenyewe unajichamba tena daah. Kuna siku ulipewa ban, tukaandamana kwa mods na #BRINGBACKWARUMI#, tulikukoma ulivyorudishwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Heshima yako binamu
 
Tulidhania wa kike waaaaaaa,[emoji445][emoji444]
Wakike,[emoji444][emoji445]
Tuliingia Cha kikee waaaaaaa
Cha kike,[emoji445][emoji445]


Kumbe warumi ni papaa Mobimba
Aisee dunia ina mambo!

Sawa mkuu tumejua leo kumbe wewe ni........****** Kidumeeeeeeeeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Warumi ni kidume bhana, juzi nilikua nachat na mtu ambye huwa tunafahamiana humu mda mrefu , nilivyomwambia I’m male , alishtuka sana na hakuamin kabisa[emoji23]
 
Hapana Mkuu, sijawahi kumwambia lolote wala kuwa interested nae kutokana na Mabandiko yake, pia sipendi mlengo wa chama alichopo! Ila najua ni KICHWA SANA! Yuko very smart yaani! Angeamua angeweza kutikisa sana kwenye majukwaa ya siasa!

Wow this has made my noon kwa kweli, I’m humbled [emoji16][emoji16], ahsante sana binamu
 
Kumbe we ni kidume cha Dar?
Mie nilikuwaga najua we ni ke halafu nilitaka kukutongoza inbox ili uwe mchepuko wangu wa kudumu ninapokuja Dar kuleta majeneza nipate pa kuwa nafikia kumbe kidume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ok unafanya biashara gani hapo mjini ? au bado unaishi kwenu?

Ahahah si ungejaribu bahati yako mkuu, you never know[emoji23][emoji23]
 
Mbona kuna uzi fulani ulisemaga una miaka 40+ hujapata bwana wakati akina ...... wamejiokotea dodo! ni uzi unaohusu mmiliki wa radio maarufu hapa mjini.

Nilikua nafanya comedy tu [emoji16]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom