Usiyoyajua kuhusu Warumi

Usiyoyajua kuhusu Warumi

Status
Not open for further replies.
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Napenda kujua unaishi wapi na unajishughulisha na nini.

BTW huwa napenda style yako ya kutoa habari za umbea humu..
Huwa unanivunja mbavu sana.
Halafu kule kwenye siasa unanikosha sana kuwa upande wa JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa unanifurahisha unapoweka thread halafu nyumbu kama hamsini unawashinda hoja wanabaki kutukana!
Hahahahh safi

Huyu jamaa Nyani Ngabu anacomedy sana wakati akiwashambulia Nyumbu wa CDM huwa nacheka san vitu kama " makamanda mbona hamsomeki " [emoji23]

The sad side ni kwamba ndio mshiriki ninaemuona anakula BAN kwa wingi kuliko wengine
 
Hahahahh safi

Huyu jamaa Nyani Ngabu anacomedy sana wakati akiwashambulia Nyumbu wa CDM like " makamanda hawasomeki "

The sad side ni kwamba ndio mshiriki ninaemuona anakula BAN kwa wingi kuliko wengine
Mimi huwa unanifurahisha unavyonipa likes kule siasani hasa nikiwa nabishana na nyumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulidhania wa kike waaaaaaa,🎶🎵
Wakike,🎵🎶
Tuliingia Cha kikee waaaaaaa
Cha kike,🎶🎶


Kumbe warumi ni papaa Mobimba
Aisee dunia ina mambo!

Sawa mkuu tumejua leo kumbe wewe ni........****** Kidumeeeeeeeeeee!
😂😂😂😂😂😂
 
Kinachonifurahisha nini wewe kuwa Team Magufuli [emoji123][emoji123].

Unanidai kinywaji chochote kile ukipendacho.
Mimi huwa unanifurahisha kule siasani namna unavyopangua hoja za vijana wa ufipa.
Kila nikifika nikitaka niandike kitu,nakuta ulishaandika nilichotaka kucomment..naishia kumwaga likes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah ni vizuri sana

Hawa wadau wengine nao ni comedy + brilliant ones

Kivumishi Kielezi Elitwege mkorinto na wengine hata huyu warumi ila kumbe ni mwanaume aisee ok good good [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jamaa alianzisha uzi akasema ifike mahala ikotokea situation kama iliyotukukba watz,Rais akifariki basi mshindi wa pili awe Rais.
Kuna jamaa sijui ndio Mkorinto sijui ni nani yule [emoji1787]aliandika hivi"yaani Lisu awe Rais hahaha"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kule macomedian ni wengi,yaani mimi huwa nacheka balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Kumbe we ni kidume cha Dar?
Mie nilikuwaga najua we ni ke halafu nilitaka kukutongoza inbox ili uwe mchepuko wangu wa kudumu ninapokuja Dar kuleta majeneza nipate pa kuwa nafikia kumbe kidume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ok unafanya biashara gani hapo mjini ? au bado unaishi kwenu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom