Usiyoyajua kuhusu Warumi

Usiyoyajua kuhusu Warumi

Status
Not open for further replies.
Nimejikuta namkumbuka the legendary Lara1 a.k.a Lara Moko .

Pumzika kwa amani Warumi binamu yetu.
 
Bila shaka Huu ndo uzi wake wa Mwisho huku na Kama alijua vile akaamua kujiweka karibu na Wan Jamii Ili wamfahamu japo kdgo na akajitahidi kujiweka ktk hali ya kujichanganya na Kila mtu bila kuonyesha Dharau.

Mungu ampe mapumziko salama Ndugu yetu
Mungu hua anatupa kitu ambacho hua hatujui mwishoni kabisa mwa maisha yetu,kuna kitu alikiona japo sisi wala yeye hatukujui miaka yote hajawahi kukiri jinsia yake miezi mitatu before his death akasema ukweli hii ni kama maono hivi!
 
Rest easy jf member. Pole sana kwa maumivu uliyopitia kuelekea tamati yako hapa duniani. You're okay now. You're in better place now.

Kuhusu gender ya marehemu... kila mtu ashinde mechi yake. Binafsi nadhani hii isiwe hoja sana.

Wanaoamini alikuwa 'she' wako sahihi. Wanaoamini alikuwa 'he' wako sahihi pia.

By the way, within 'he' there's she. Go figure...

God bless the dead.

-Kaveli-
 
Ahahah kweli kabisa, ahsante sana binamu
Dah, binamu, May ulikuwa hapa ukijibu maswali ya watu kuhusu jinsia yako, Na bado watu hawaamini kama wewe ni ME Mungu akurehemu mdogo wangu, ulijua kutupagaisha na umbea wa moto moto
 
Kwa Kiingereza inaitwa, "to make amends". Kurekebisha mambo yako ya huko nyuma ambayo unahisi hayakuwa sahihi. Nadhani alikwishaanza kuumwa na akahisi kifo. Ugonjwa wa figo uliomuondoa uchukuwa muda mrefu kabla ya kifo. Nadhani madaktari walimwambia kuwa siku zake ni chache.
Bila shaka Huu ndo uzi wake wa Mwisho huku na Kama alijua vile akaamua kujiweka karibu na Wan Jamii Ili wamfahamu japo kdgo na akajitahidi kujiweka ktk hali ya kujichanganya na Kila mtu bila kuonyesha Dharau.

Mungu ampe mapumziko salama Ndugu yetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom