Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Ushauri wangu waarabu sio wepesi kupoteza Kwao na ni wagumu fainali hasa wakiwa Kwao kama vile wanaingizaga hadi mizimu iwasaidie.Ngoja waje kina nalia na ngwena,Interlucustrine na wengineo wakubishie