USM ALGER ni Wagumu Sana Kwenye Uwanja Wao Wa Nyumbani

Ngoja waje kina nalia na ngwena,Interlucustrine na wengineo wakubishie
Ushauri wangu waarabu sio wepesi kupoteza Kwao na ni wagumu fainali hasa wakiwa Kwao kama vile wanaingizaga hadi mizimu iwasaidie.
 
Naomba wakifika Kule wakanyagwe mkurugenzi wa Air Tanzania atoe tamko ndege Ina hitilafu warudi na ndege za kukodi tu maana ni aibu.
Wangekuja tu na kile ki bombadia chenye limit ya kuruka umbali mrefu

Hicho kitakuwa kinampa kazi rubani kukwepa maghorofa na kuwafanya abiria wa ndani wawe roho juu.

Pili kitakuwa kinapigwa na upepo safari nzima kinayumba kama mlevi

Pia naskia kikiwa angani kikipigwa push na mwewe au Kunguru kinaweza ku lose direction kikashika wrong root, kikajikuta kinapita root kuelekea Malawi badala ya Algeria
 
ng
ngoja tuone
 
Yanga pale hamna defender, jamaa Wana safu Bora ya ushambuliaji , Ila defending ni poor , we jamaa umeacha kumshabikia Alikiba umehamia kwenye mpira
 
Ukumbuke Yanga nao hawana nyumbani wala ugenini
 
[emoji2][emoji2][emoji16][emoji119]
 
kwanini caf hawakuleta kombe uwanjani jana?
Sasa walete kombe wakati wenye kombe wanajulikana ili mliiibe kombe litaonekana Kule halafu taratibu za kuonyeshwa kombe zinakuaga kama fainali ni moja tu taratibu za Africa hizo ndo zipo hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaaa sanaaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia kuna mtu anasema watapindua meza, naomba niwakumbushe waarabu hawatumii meza wamakaa kwenye majamvi, sasa wanapinduaje jamvi na watu wamekalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watawanuaa kwa upepoo unajuajee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa walete kombe wakati wenye kombe wanajulikana ili mliiibe kombe litaonekana Kule halafu taratibu za kuonyeshwa kombe zinakuaga kama fainali ni moja tu taratibu za Africa hizo ndo zipo hivyo.
sasa tutaamini vp kama jana ilikuwa fainali
 
Algeria ni Golgotha , waulizeni Taifa Stars kilichowakuta walipokwenda kule.. Vibwengo wanaowaza kwenda kupindua meza nawaonea huruma.
 
Nasikia kuna mtu anasema watapindua meza, naomba niwakumbushe waarabu hawatumii meza wamakaa kwenye majamvi, sasa wanapinduaje jamvi na watu wamekalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
Mkuu nimecheka sana[emoji23]
.
Mwarabu akishakalia jamvi labda watasaidia kulikung'uta kung'uta vumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…