Uso Kwa Uso Na Dkt. Shika

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,308
Habarini Wakuu!
=
=
Usiku Wa Jana Majira Ya Saa Moja Na Dakika 45 Wakati Natoka Zangu Mugabe Kwa Miguu Kuelekea Mawasiliano.

Nikawa Nashuhudia Uumbaji Wa Mungu Taratibu Nikitembea Kwa Hatua Za Kuhesabu, Ukizingatia Mawasiliano Imekuwa Ni Center Ya Wanachuo Wa UDSM Na Law School Hasa Kwenye Zile Best Restaurants Moja Maarufu Kwa Jina La "Best Foods" Mkabala Na Sehemu Dala Dala Zinapoingilia Ndani Ya Stand.
=
=
To My Dismay ( Kwa Mshangao) Nikamuona Mtu Aliye Tikisa Jamii Ya Watanzania Kwenye Sakata La Nyumba Za Lugumi Ambapo Alijizolea Umaarufu Kebe Kwa Ile Kauli Yake "900" Itapendeza, Hali Iliyopelekea Awe Gumzo Kila Sehemu Na Hapo Hapo Makampuni Yakaanza Kumtumia Kama Sehemu Ya Kutangaza Biashara Zao.
=
=
Alikuwa Anatembea Kwa Miguu Kutokea Upande Opposite Na Mimi Kitu Ambacho Kilifanya Tuonane Uso Kwa Uso, Alivaa Shati Jeupe La Mistari, Mikono Mirefu, Kiatu Cheusi Blunt, Mkanda Wa Brown Na Suruali Ya Dark Blue, Nywele Zikiwa Hazina Ushirikiano Na Bahasha Ya Khaki Mkononi.
=
=
Nilisimama Dakika Tano Mfululizo Kumuangalia Kwa Masikitiko Makubwa Mpaka Alivyo Ishia Kwenye Dala Dala.

Nilibaki Kujiuliza Maswali Mengi Kama Vile Alisema Angeenda Marekani Kwenye Ile Interview Yake Ya Mwisho Kitu Ambacho Sivyo. Pia Mshana Jr Alisha Tuaminisha Jamaa Yupo Under Special Mission Na Ni Private Eye. Sasa Ile Bahasha Ya Khaki Ni Kwamba Alikuwa Anatafuta Kibarua?
=
=
My Take
Serikali Inapowatumia Watu Kama Hawa Iwe Inawapa Namna Vinginevyo Ni Aibu Sana.
Mbona Babu Wa Samunge Loliondo Alifanikiwa Sana Kupata Kiinua Mgogongo Kuliko Wastaafu? Hii Awamu Vipi?
 

Attachments

  • Screenshot_20180506-094624.jpg
    41.7 KB · Views: 75
Hahahah watu walipiga watu kamba humu wengine mara wamefuatilia huko urusi ni kweli hadi watu wanaoleta threads za kuaminika humu waliingoa cha kike mara CIA mara ana mabilion kweli kumbe jamaa anapigwa na matapeli wa mitandao maskini
 
Doctor shika, anatakiwa aungwe kwenye bongo movie, ataweza. we mdada uliyekuwa unampromote tafadhali ongea na hao bongo movie awe mwigizaji, anaweza huyo mzee ili kipaji chake kisife. tafadhali, tiari alishatengeneza jina ni asset huyo.
 
Hahahaaaa mkuu ila kumbuka duniani tuko wawili wawili.Labda uliemwona ni mjomba wake dokta Shika
Hapana Mkuu, Nilitumia Dakika Tano Kuthibitisha Kama Ni Yeye Na Inference Yangu Ilikuwa Sahihi Kwamba Ni Dkt. Shika Aliyekuwa Akisubiri Giza Liingie Ndio Atokee Kugombania Usafiri Wa Dala Dala. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nakaa mbele ili nifaidi,,narudia kusema nilichosema zaman ogopen sana mtu wa kitengo cha propaganda wa awamu hii,ha ha ha ametusoma sana watazania na anatupatia kwel kweli
Kweli Mkuu! Babu Wa Samunge Loliondo Ndiye Aliyetumiwa Na Kupata Maslahi Makubwa Kuliko Hata Wastaafu. [emoji23][emoji23]
 
Hahahah watu walipiga watu kamba humu wengine mara wamefuatilia huko urusi ni kweli hadi watu wanaoleta threads za kuaminika humu waliingoa cha kike mara CIA mara ana mabilion kweli kumbe jamaa anapigwa na matapeli wa mitandao maskini
Inaweza Akawa Ni Agent Lakini Sio Kwa Kile Kiasi Tulivyo Aminishwa Kwamba Atumiwe Na CIA Mara Ana Conflict Na KGB. This Is Hoax
 
Doctor shika, anatakiwa aungwe kwenye bongo movie, ataweza. we mdada uliyekuwa unampromote tafadhali ongea na hao bongo movie awe mwigizaji, anaweza huyo mzee ili kipaji chake kisife. tafadhali, tiari alishatengeneza jina ni asset huyo.
Asije Akwa Kina King Majuto Aanze Kuomba Msaada Wa Matibabu.
Mara Mia Atumiwe Na Sekta Ya Afya Hususani Kufundisha Vijana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee kweli sisi sote ni wahanga
Upo Sahihi Mkuu!
Inabidi Tuishi Kwa Akili Na Nguvu Nyingi Kuhakikisha Tonge Linaingia Kinywani Vinginevyo Tutahama Jiji Kama Pogba Alivyo Tuhatarisha.
 
Mie nikutana nae posta nilienda kupokea pesa kwenye western union, jamaa alikuwa choka mbaya nikampa buku tano
 
Mie nikutana nae posta nilienda kupokea pesa kwenye western union, jamaa alikuwa choka mbaya nikampa buku tano
Inasikitisha Sana Mkuu!
Anazunguka Na Bahasha Ya Khaki Tu.
Yupo Choka Mbaya.
Hawa Wasomi Wetu Wakienda Urusi Wanapewa Nini?
Sio Huyu Tu Ninawajua Kama Kumi Na Mbili Rika La Kuanzia Dkt Shika Na Kuendelea Wanatia Aibu Kweli Kweli.
 
wacha umbeya kadandie gari lako la g/mboto uwahi kwenu pugu.
ningekuona jana cm 2000 ningekutandika vibao kuz nilikuwa around.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…