Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,308
Habarini Wakuu!
=
=
Usiku Wa Jana Majira Ya Saa Moja Na Dakika 45 Wakati Natoka Zangu Mugabe Kwa Miguu Kuelekea Mawasiliano.
Nikawa Nashuhudia Uumbaji Wa Mungu Taratibu Nikitembea Kwa Hatua Za Kuhesabu, Ukizingatia Mawasiliano Imekuwa Ni Center Ya Wanachuo Wa UDSM Na Law School Hasa Kwenye Zile Best Restaurants Moja Maarufu Kwa Jina La "Best Foods" Mkabala Na Sehemu Dala Dala Zinapoingilia Ndani Ya Stand.
=
=
To My Dismay ( Kwa Mshangao) Nikamuona Mtu Aliye Tikisa Jamii Ya Watanzania Kwenye Sakata La Nyumba Za Lugumi Ambapo Alijizolea Umaarufu Kebe Kwa Ile Kauli Yake "900" Itapendeza, Hali Iliyopelekea Awe Gumzo Kila Sehemu Na Hapo Hapo Makampuni Yakaanza Kumtumia Kama Sehemu Ya Kutangaza Biashara Zao.
=
=
Alikuwa Anatembea Kwa Miguu Kutokea Upande Opposite Na Mimi Kitu Ambacho Kilifanya Tuonane Uso Kwa Uso, Alivaa Shati Jeupe La Mistari, Mikono Mirefu, Kiatu Cheusi Blunt, Mkanda Wa Brown Na Suruali Ya Dark Blue, Nywele Zikiwa Hazina Ushirikiano Na Bahasha Ya Khaki Mkononi.
=
=
Nilisimama Dakika Tano Mfululizo Kumuangalia Kwa Masikitiko Makubwa Mpaka Alivyo Ishia Kwenye Dala Dala.
Nilibaki Kujiuliza Maswali Mengi Kama Vile Alisema Angeenda Marekani Kwenye Ile Interview Yake Ya Mwisho Kitu Ambacho Sivyo. Pia Mshana Jr Alisha Tuaminisha Jamaa Yupo Under Special Mission Na Ni Private Eye. Sasa Ile Bahasha Ya Khaki Ni Kwamba Alikuwa Anatafuta Kibarua?
=
=
My Take
Serikali Inapowatumia Watu Kama Hawa Iwe Inawapa Namna Vinginevyo Ni Aibu Sana.
Mbona Babu Wa Samunge Loliondo Alifanikiwa Sana Kupata Kiinua Mgogongo Kuliko Wastaafu? Hii Awamu Vipi?