Uso kwa uso na engineer wa Kipare Kanisani

Uso kwa uso na engineer wa Kipare Kanisani

Habari ya jumapili waungwana

kweli leo nimeamin milima haikutani ila binadamu hukutana....leo nilishiriki ibada mbezi beach kanisa nalihifadhi jina..wakati natoka kanisan eneo la mlangoni ili nichovye maji ya baraka nikahisi kuna mtu ananivuta nikageuka ghafla kuangalia ni enginer wa kipare ,,macho ghafla yalipoteza nuru ya kuona..nilibaki nikishangaa ...nikatoka nje nikiwa nae ..tukasalimiana...alichoniambia "mbona umenisusa?" nikamuuliza unasemaje? nikamwambia nahisi umekosea njia ..nikasepa akanifuata ananiambia acha zarau... kumbe binam yang alimwona wakati ananivuta .. wakati tukiwa nje kidogo ya kanisa binam yang alisogea karibu akamwambia usimpoteze muda ulishamwona hakufai leo unahangaika nae? martha twende zetu? ikumbukwe binam yang alikuwa anamfaham enginer lakin enginer alikuwa hamfaham binam yang.. tukapanda zetu mkoko tukasepa . ..
Samehe saba sabini 70 na Sahahu.

Jua lisikuchwe ukiwa na hasira moyoni.

Next time usiharibu ibada kwasababu ya injinia wa kipare.
 
Nimeshawishika kupitia thread's zako zote....
Nilicho kigundua kwako ni upweke na desperation
 
Naona jina limewavutia wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujue wanwake tunakosea. Ma X ni mtaji nao. Ukiachana na mtu, msigombane ili ujili kiinua mgongo. Hahaaaa.
Yes wanasema vyote unavyopata kwa ex baada ya uhusiano kuisha ni pension yako [emoji4]
 
Viroba nasikia vinauzwa kwa siri sana, ukienda baa kuanzia saa sita Usiku unavipata, watu Wana stock za kushiba, juz Matei kule Morogoro wamekamata za kutosha, sasa naona Bado zipo tu, lengo Lao sio watu kunywa ila imekua portable mno, kias kwamba hata mwanafunz akienda dukan kununua pen change anachukua kiroba Kimoja, lengo Lao kubwa watu wasinywe maana mzinga mkubwa bei sio ya kitoto, ww unadhan hawajui hilo wakifuta zote si tutatafutana Hapa kwenye kod, kwann mzinga mdogo waufute Halafu Ule mkubwa wauache Akili kumkichwa kama lengo kukomesha ulev wangefuta zote had tbl,
Mwambie.
 
Ujue wanwake tunakosea. Ma X ni mtaji nao. Ukiachana na mtu, msigombane ili ujili kiinua mgongo. Hahaaaa.
Mwambie Huyu Mchagga. Story Haina Kichwa Wala Kiwiliwili...Ila Kuhusu Kumchuna Ex Labda Asiwe MKINGA.
 
Mwambie Huyu Mchagga. Story Haina Kichwa Wala Kiwiliwili...Ila Kuhusu Kumchuna Ex Labda Asiwe MKINGA.
Tena mkinga ndo mwepesi mpaka basi. Wale si lazima waoe kwao anakuwa na guilty mpaka basi unamchuna tu kirahisiiii.
 
Tena mkinga ndo mwepesi mpaka basi. Wale si lazima waoe kwao anakuwa na guilty mpaka basi unamchuna tu kirahisiiii.
Sio Kwa Mkinga Mimi. Kuchuna Labda Ww Kidogoooo. Ila Free P Inatembea Sana Kwa Hawa Wakurupukaji.
 
Back
Top Bottom