Uso kwa uso na mkewe katika harakati za kuatafuta kimwana

Mtunzi makini! Duuu hata sauti ya mkewe haijui?
 
duh!!!!!!!!!!!!!! huyo mwanaume ni nuksi kabisa yaani kweli biashara matangazo alikuwa akitangaza biashara yake pole kwa huyo mrs wake maana hapo ana mume tena pole sana,
 
Kweli wanaume nuksi yaani una makosa then unamgeuka mwenzio duh!? Hii kali
 
Mada ya zamani hii lakini niliposoma tu kichwa chake nimebaki kucheka sana. Walimwengu wana vituko sana.
 
Wote hawafai hata kidogo!Na hawana maana,huyo mwanamke na jamaa yake walikutana pipa na mfuniko!
 
anapowakabidhi business card awaambie kuwa huyu jamaa kakuzimia na alikuona ila kaniomba nikupatie contact zake....
Mi nadhani hilo linamaliza utata wote.
Wife, nilitaka kuku-surprise!! Hujui wewe pekee ndo nimekuzimikia!??
 
hiyo picha ni ya nani mkuu na inahusikaje na hadithi yetu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…