Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtunzi makini! Duuu hata sauti ya mkewe haijui?
Mkuu ni kichwa kimoja tu ndo kinafanya kazi at a time. Sasa kikishachanganya ataikumbuka hiyo sauti ya wife?
Wote hawafai hata kidogo!Na hawana maana,huyo mwanamke na jamaa yake walikutana pipa na mfuniko!
Mi nadhani hilo linamaliza utata wote.anapowakabidhi business card awaambie kuwa huyu jamaa kakuzimia na alikuona ila kaniomba nikupatie contact zake....