Peter Fabian
Member
- Jul 18, 2011
- 73
- 7
Da na miaka 21 sasaKwani umebalehe lini ndugu?
Sio kwamba namuogopa ila sijawahi kukutana na demu chumbani!Umemtongozea facebook nin,mana ni ajabu kukutana na m2 unaemjua afu useme unamuogopa?
Da mtoto hanashida kasha kaa juu ya mstari ila mi ndo cjui kitu!Kunafungo zina holder kama ya BMW nunua hiyo uwe untikisa tikisa kwenye maongezi nasikia hao watu wanapenda sana wakijua unatembea huku umekaa
kwanini?Huna haja ya kwenda kumuona, wewe lala tu home, au tafute shughuli ya maana ya kufanya.
Da mtoto hanashida kasha kaa juu ya mstari ila mi ndo cjui kitu!
Fanya mazoezi.................lazima utakuwa mwanafunzi................soma kwa bidii..............tumikia imani yako ya kidini..............kuwa karibu na wazazi wako hasa baba yako.
Kwa sababu, huna sababu ya maana ya kwenda kuonana naye zaidi ya uzinifu tu.kwanini?
ushauri wa kinafiki huu.
Namshauri kama mzazi au mlezi.....................na nitasimamia hapo!
Akifariki bado atakuwa anayafanya hayo mambo?Kwa sababu, huna sababu ya maana ya kwenda kuonana naye zaidi ya uzinifu tu.Kama unasoma au upo shule ama college maliza kwanza, hayo mambo utayakuta tu, hayana mwisho hayo...!
Mzazi mwenye mtoto wa miaka 21 anayeshinda jukwaa la mahusiano na mapenzi anahitaji ushauri zaidi ya kijana wa miaka 21 anayetaka kuanza sex, do yourself a favor jishauri mwenyewe.
Akifariki bado atakuwa anayafanya hayo mambo?