Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

Huna haja ya kwenda kumuona, wewe lala tu home, au tafute shughuli ya maana ya kufanya.
 
Kunafungo zina holder kama ya BMW nunua hiyo uwe untikisa tikisa kwenye maongezi nasikia hao watu wanapenda sana wakijua unatembea huku umekaa
Da mtoto hanashida kasha kaa juu ya mstari ila mi ndo cjui kitu!
 
Siku ukiwa naye mwambie akufundishe mdogo mdogo, utaelewa tu...
 
Da mtoto hanashida kasha kaa juu ya mstari ila mi ndo cjui kitu!

Watoto mnaokua mna shida sana........................hujui kitu huku unajisifia "kasha kaa juu ya mstari"..............mstari upi huo????

Na chumbani unamwita kufanya nini?...........social centres za kufanyia maongezi zimefungwa zote?

Just 21yrs............unajihamasisha kufanya ngono..........................si mwanafunzi wewe?.........huna shughuli ya maana ya kufanya?

Mbona umevumilia muda wote huo.........peer pressure inakusumbua eeh?.....wenzako wanakucheka eeh?Kama ni hisia ulizonazo,ni za kawaida sana kwa vijana wa umri wako..........maana yake ni kwamba wewe ni mwanaume rijali.Huhitaji kufanya ngono ili kuonyesha urijali wako.

Mi nakushauri kama dada yako.................endelea kuvumilia.................usiingie kwenye mkumbo, nadhani madhara unayajua na ndio maana uliweza kuvumilia muda wote huo.......................

Fanya mazoezi.................lazima utakuwa mwanafunzi................soma kwa bidii..............tumikia imani yako ya kidini..............kuwa karibu na wazazi wako hasa baba yako.......nadhani anakupenda na anapenda maendeleo yako...........muombe ushauri yeye........

Huyo rafiki nenda nae outing sehemu ambayo ni mkusanyiko wa watu wengi................epuka kukutana nae kwenye private.
 
Fanya mazoezi.................lazima utakuwa mwanafunzi................soma kwa bidii..............tumikia imani yako ya kidini..............kuwa karibu na wazazi wako hasa baba yako.

ushauri wa kinafiki huu.
 
Namshauri kama mzazi au mlezi.....................na nitasimamia hapo!

Mzazi mwenye mtoto wa miaka 21 anayeshinda jukwaa la mahusiano na mapenzi anahitaji ushauri zaidi ya kijana wa miaka 21 anayetaka kuanza sex, do yourself a favor jishauri mwenyewe.
 
Kwa sababu, huna sababu ya maana ya kwenda kuonana naye zaidi ya uzinifu tu.Kama unasoma au upo shule ama college maliza kwanza, hayo mambo utayakuta tu, hayana mwisho hayo...!
Akifariki bado atakuwa anayafanya hayo mambo?
 
Mzazi mwenye mtoto wa miaka 21 anayeshinda jukwaa la mahusiano na mapenzi anahitaji ushauri zaidi ya kijana wa miaka 21 anayetaka kuanza sex, do yourself a favor jishauri mwenyewe.

Aliyekwambia mzazi/mlezi lazima awe amezaa ni nani?..............Tunaposema watoto wa siku hizi hawana maadili tumewazaa?

Am aged enough kuitwa mlezi......na nimeelimika vizuri kuhusu vijana/ujana na malezi........................so karibu kwa ushauri hata wewe ukipenda!
 
Back
Top Bottom