Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Yaani hako kapicha uloweka cha huyo mdada huwa naimagine na wewe upo hivyo hvyo kwa uzuri wa sura yako,napenda sana komet zako.
hahahaaa!! kumbe unavaaga mini skirt dada!!
nimefurahi kukuona!
mimi huku nilipo sidahani km ntakuja kukutana na mtu wa jf yaani huku machochwe wala sitegemei,
Koma mara 1 kumsifia Kitchuna wangu!
Tena usirudie! Wanamme tunajipinda kum'carol-lite wewe uje usifie kwa uso mkavu!
Koma .
Heaven on Earth hivi haka kajamaa unakafahamu?
Nimejaribu kufupisha kastori nimeshindwa............Mnisamehe Bure
kwani ni wewe blaza...?Teh kumbe umeyaleta Hadi huku
Hii ya watu wa karibu kujua id inanipa shida. Kuna wakati wa kufanya maamuzi magumu na kuchukua id ingine.
Nimejaribu kufupisha kastori nimeshindwa............Mnisamehe Bure
J una mambo wewe.........simfaham hata
tunakutania humu humu kwenye corner za JF
Uko salama lakin
Sina hujambo Bibie!
Nna siku ya 3 leo nawashwa!