Uso kwa uso na wana jf!

Uso kwa uso na wana jf!

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
nimepata bahati ya kuonana na wana jf ambao ni ZE DUDUZ APEX, KYALOW,VODKA MALIAA,TUNTEMEKE,,JEMSI,chuoni mmh huyu apex mpole sanaaa, kyalow mpenda utani sana hadi nilikuwa namuogopa, huyu VODKA kauzu sana,hawa tuntemeke na maliaa ni warembo hadi natamani kukaa nao muda wote hapa chuoni,huyu zeduduz kijana anapenda sifa alitaka kunichukulia demu wangu
 
Umeshamaliza form six tayali dogo
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom