Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
nimepata bahati ya kuonana na wana jf ambao ni ZE DUDUZ APEX, KYALOW,VODKA MALIAA,TUNTEMEKE,,JEMSI,chuoni mmh huyu apex mpole sanaaa, kyalow mpenda utani sana hadi nilikuwa namuogopa, huyu VODKA kauzu sana,hawa tuntemeke na maliaa ni warembo hadi natamani kukaa nao muda wote hapa chuoni,huyu zeduduz kijana anapenda sifa alitaka kunichukulia demu wangu