Uso kwa Uso(Nikiwa Sober) na Mwanajamiiforums mwenzangu ambaye huwa ni Mpinzani wangu sana humu ndani

Usishangae... Manungayembe huwa hayakosekani popote pale... Yanakuwepo kupepesa pepesa macho kama bendera ya cuf ya lipumba kutafuta wanaume wa kuwazoea. Usishanga jose..

[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Ila yaweza kuwa kweli aisew. Nilikaa siti moja na Mghamba nikienda Mwanza, anacomment balaa najifanya nimelala hahaha. Ila alivyo smart na anavyoandika humu ni tofauti.
 
Siku ya leo imekuwa moja ya siku njema kwangu. Nikiwa katika shughuli zangu za kikazi nlifika katika ofisi moja kuonana na Mkurugenzi wa kampun flan. Nikiwa nimekaa Sehemu ya wageni nliamua kuchukua simu yangu kuingia jamiiforums kwa ajili ya kuweza kusoma na ku comment mambo mawili matatu. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja nadhifu pia ametulia. Kumbe wakati naendelea kupost JF naye allikuwa akipepesa pepesa macho na ikatokea yakaja kutua kwenye screen yangu. Kijana uzalendo ukamshinda na kaamua kunisamilia “Habari za saa hizi Bro” nlimjibu kwa utulivu. Akanambia “ Samahani naweza kuuliza? “ nikamruhusu aulize.

“wewe ndo gudume?” nlishtuka kidogo kwa kuwa hakukuwa na mtu yeyote anayefaham kuwa mimi ni gudume si ndugu si rafiki. Nikamuuliza kwani vipi? Akajibu “kuna bro mmoja jamiiforums anajiita gudume nliona kama unacomment kwa kutumia ID yake” nikamjibu mimi ndiye. Tuliamka na kukumbatiana kama vile ni marafiki wa muda mrefu waliopotezana na leo wamekutana. Kwa furaha kabisa.

Nlimaliza mambo yangu na kurudi nikamkuta akiwa pale kwenye sofa nikamwomba kama hatojali na ana muda twende wote tukapate lunch.inaonekana naye alikuwa amemaliza lililomleta hakufanya hiyana. Pamoja tukaenda kupata lunch tukipiga stories mbalimbali na visa na mikasa ya jamiiforums.

Hakusita kuelezea mshangao wake.. na kwa kushindwa kuamini kabisa alisema pengine si mimi maana ni mtu tofauti sana na wa JF (alikuwa na bahati kunikuta sober sijavuta mabhangi yangu na kunywa gongo ya mchanganyiko wa Petrol,JIK,Maji ya Battery, Hydrolic,Viroba na sabuni ya OMO) Na kunitaka nimkumbushe visa na mikasa miwili mitatu.tuliongea na kucheka sana. Kiuhalisia hata yeye alikuwa anaonekana ni kijana mstaarabu na si mwenye matusi kama anavyoonekana humu JF. Tukaishia kupeana namba za simu na tukaagana kwa Amani na upendo.

Wadau tuishi kwa Amani na Upendo. Tunayokutana nayo huku yaishie huku huku tu. Tunapokutana nje tuwe watu wenye Amani ,furaha na upendo.tusibebe chuki au hasira za humu ndani na kuhamishia katika maisha halisi.

Nmefurah sana kwa tukio hilo na naomba tuzidi kushirikiana
Li ndezi kwenye ubashite ulio bora
 
Hah hah hah.....

Kama wabunge wa CCM na UKAWA vile wakiwa bungeni maadui ila mifahawani na kwenye viti virefu ni maselaa balaa
Na wale wa jinsia tofauti wanamegana sana mpaka wazee wao wananuna!
 
Usishangae... Manungayembe huwa hayakosekani popote pale... Yanakuwepo kupepesa pepesa macho kama bendera ya cuf ya lipumba kutafuta wanaume wa kuwazoea. Usishanga jose..
[emoji23] [emoji23]
 
KUNA MTU nliambiwa anaitwa valentina ana recruit watu awaunge group la machangudoa na la passion. ni wewe? bado wapo? mi kaka yako nahangaika huku kutafuta mke nipasie hata limoja ambalo limeshachoka maisha hayo lije litulie na mimi huku.......

Siku ukiacha haya maujinga unayofanya huku jf na groups utatengeneza faida ndefu sana hata kwa jamii ikuzungukayo
 
ha ha ha... wewe ni rafiki yangu sana ujue?????????????????? tumetoka mbali sana tunafahamiana vizuri toka unakua..... tuwasiliane basi valey... mimi haya ninayoyafanya ndo naenjoy sana na ndo natengeneza faida kwangu na kwa jamii inayonizunguka pia.... utaniuliza kwa njia gani sitakujibu ila naweza kukufafanulia kama ingekuwa tunakuatana namna ileeeeeeeeeeeeeee.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Ha haa so now ndo nimekua rafiki yako sio!

Baada ya kujaribu kunisingizia mambo yako

Ila mchezo huu sio mzuri,bora uache
 
mi sijawah kukusingizai anything... siku zote wewe ni rafiki yangu.. mimi msema kweli mpenzi wa mungu.

Ha haa so now ndo nimekua rafiki yako sio!

Baada ya kujaribu kunisingizia mambo yako

Ila mchezo huu sio mzuri,bora uache
 
Siku ya leo imekuwa moja ya siku njema kwangu. Nikiwa katika shughuli zangu za kikazi nlifika katika ofisi moja kuonana na Mkurugenzi wa kampun flan. Nikiwa nimekaa Sehemu ya wageni nliamua kuchukua simu yangu kuingia jamiiforums kwa ajili ya kuweza kusoma na ku comment mambo mawili matatu. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja nadhifu pia ametulia. Kumbe wakati naendelea kupost JF naye allikuwa akipepesa pepesa macho na ikatokea yakaja kutua kwenye screen yangu. Kijana uzalendo ukamshinda na kaamua kunisamilia “Habari za saa hizi Bro” nlimjibu kwa utulivu. Akanambia “ Samahani naweza kuuliza? “ nikamruhusu aulize.

“wewe ndo gudume?” nlishtuka kidogo kwa kuwa hakukuwa na mtu yeyote anayefaham kuwa mimi ni gudume si ndugu si rafiki. Nikamuuliza kwani vipi? Akajibu “kuna bro mmoja jamiiforums anajiita gudume nliona kama unacomment kwa kutumia ID yake” nikamjibu mimi ndiye. Tuliamka na kukumbatiana kama vile ni marafiki wa muda mrefu waliopotezana na leo wamekutana. Kwa furaha kabisa.

Nlimaliza mambo yangu na kurudi nikamkuta akiwa pale kwenye sofa nikamwomba kama hatojali na ana muda twende wote tukapate lunch.inaonekana naye alikuwa amemaliza lililomleta hakufanya hiyana. Pamoja tukaenda kupata lunch tukipiga stories mbalimbali na visa na mikasa ya jamiiforums.

Hakusita kuelezea mshangao wake.. na kwa kushindwa kuamini kabisa alisema pengine si mimi maana ni mtu tofauti sana na wa JF (alikuwa na bahati kunikuta sober sijavuta mabhangi yangu na kunywa gongo ya mchanganyiko wa Petrol,JIK,Maji ya Battery, Hydrolic,Viroba na sabuni ya OMO) Na kunitaka nimkumbushe visa na mikasa miwili mitatu.tuliongea na kucheka sana. Kiuhalisia hata yeye alikuwa anaonekana ni kijana mstaarabu na si mwenye matusi kama anavyoonekana humu JF. Tukaishia kupeana namba za simu na tukaagana kwa Amani na upendo.

Wadau tuishi kwa Amani na Upendo. Tunayokutana nayo huku yaishie huku huku tu. Tunapokutana nje tuwe watu wenye Amani ,furaha na upendo.tusibebe chuki au hasira za humu ndani na kuhamishia katika maisha halisi.

Nmefurah sana kwa tukio hilo na naomba tuzidi kushirikiana
Dah, haya bhana.
 
ungemsemesha tu. ila sasa nmejifunza kuwa makini sana public.. maana sometime sisi wengine tunajisahau tukiingia jukwaa la siasa tunatema nyongo... bora tuwe tunashinda huku huku tu... sema ukikaa sena sehemu kama hizi akili zinaanza kuwasha..maana zinakuwa kama hazitumiki sana... anyway ungemsalimia mfahamiane maana nakujua wewe si mtu wa majanga.sisi wengine wahuni na wakorofi ndo hatupendi kufahamika.
Power ya jamiiforums ipo ktk the unknown.
 
Back
Top Bottom