Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Bora nawe umestukia
Li ndezi kwenye ubashite ulio boraSiku ya leo imekuwa moja ya siku njema kwangu. Nikiwa katika shughuli zangu za kikazi nlifika katika ofisi moja kuonana na Mkurugenzi wa kampun flan. Nikiwa nimekaa Sehemu ya wageni nliamua kuchukua simu yangu kuingia jamiiforums kwa ajili ya kuweza kusoma na ku comment mambo mawili matatu. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja nadhifu pia ametulia. Kumbe wakati naendelea kupost JF naye allikuwa akipepesa pepesa macho na ikatokea yakaja kutua kwenye screen yangu. Kijana uzalendo ukamshinda na kaamua kunisamilia βHabari za saa hizi Broβ nlimjibu kwa utulivu. Akanambia β Samahani naweza kuuliza? β nikamruhusu aulize.
βwewe ndo gudume?β nlishtuka kidogo kwa kuwa hakukuwa na mtu yeyote anayefaham kuwa mimi ni gudume si ndugu si rafiki. Nikamuuliza kwani vipi? Akajibu βkuna bro mmoja jamiiforums anajiita gudume nliona kama unacomment kwa kutumia ID yakeβ nikamjibu mimi ndiye. Tuliamka na kukumbatiana kama vile ni marafiki wa muda mrefu waliopotezana na leo wamekutana. Kwa furaha kabisa.
Nlimaliza mambo yangu na kurudi nikamkuta akiwa pale kwenye sofa nikamwomba kama hatojali na ana muda twende wote tukapate lunch.inaonekana naye alikuwa amemaliza lililomleta hakufanya hiyana. Pamoja tukaenda kupata lunch tukipiga stories mbalimbali na visa na mikasa ya jamiiforums.
Hakusita kuelezea mshangao wake.. na kwa kushindwa kuamini kabisa alisema pengine si mimi maana ni mtu tofauti sana na wa JF (alikuwa na bahati kunikuta sober sijavuta mabhangi yangu na kunywa gongo ya mchanganyiko wa Petrol,JIK,Maji ya Battery, Hydrolic,Viroba na sabuni ya OMO) Na kunitaka nimkumbushe visa na mikasa miwili mitatu.tuliongea na kucheka sana. Kiuhalisia hata yeye alikuwa anaonekana ni kijana mstaarabu na si mwenye matusi kama anavyoonekana humu JF. Tukaishia kupeana namba za simu na tukaagana kwa Amani na upendo.
Wadau tuishi kwa Amani na Upendo. Tunayokutana nayo huku yaishie huku huku tu. Tunapokutana nje tuwe watu wenye Amani ,furaha na upendo.tusibebe chuki au hasira za humu ndani na kuhamishia katika maisha halisi.
Nmefurah sana kwa tukio hilo na naomba tuzidi kushirikiana
Na wale wa jinsia tofauti wanamegana sana mpaka wazee wao wananuna!Hah hah hah.....
Kama wabunge wa CCM na UKAWA vile wakiwa bungeni maadui ila mifahawani na kwenye viti virefu ni maselaa balaa
[emoji23] [emoji23]Usishangae... Manungayembe huwa hayakosekani popote pale... Yanakuwepo kupepesa pepesa macho kama bendera ya cuf ya lipumba kutafuta wanaume wa kuwazoea. Usishanga jose..
[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]KUNA MTU nliambiwa anaitwa valentina ana recruit watu awaunge group la machangudoa na la passion. ni wewe? bado wapo? mi kaka yako nahangaika huku kutafuta mke nipasie hata limoja ambalo limeshachoka maisha hayo lije litulie na mimi huku.......
[emoji23] [emoji23]
Siku ukiacha haya maujinga unayofanya huku jf na groups utatengeneza faida ndefu sana hata kwa jamii ikuzungukayo
Ha haa so now ndo nimekua rafiki yako sio!ha ha ha... wewe ni rafiki yangu sana ujue?????????????????? tumetoka mbali sana tunafahamiana vizuri toka unakua..... tuwasiliane basi valey... mimi haya ninayoyafanya ndo naenjoy sana na ndo natengeneza faida kwangu na kwa jamii inayonizunguka pia.... utaniuliza kwa njia gani sitakujibu ila naweza kukufafanulia kama ingekuwa tunakuatana namna ileeeeeeeeeeeeeee.
πππππππππππππππππππππ
So ni kweli nina group la machangu eh?mi sijawah kukusingizai anything... siku zote wewe ni rafiki yangu.. mimi msema kweli mpenzi wa mungu.
Jibu kwanza swaliUpo wapi muda huu?????????????????? ili nijue nini cha kufanya...
Dah, haya bhana.Siku ya leo imekuwa moja ya siku njema kwangu. Nikiwa katika shughuli zangu za kikazi nlifika katika ofisi moja kuonana na Mkurugenzi wa kampun flan. Nikiwa nimekaa Sehemu ya wageni nliamua kuchukua simu yangu kuingia jamiiforums kwa ajili ya kuweza kusoma na ku comment mambo mawili matatu. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja nadhifu pia ametulia. Kumbe wakati naendelea kupost JF naye allikuwa akipepesa pepesa macho na ikatokea yakaja kutua kwenye screen yangu. Kijana uzalendo ukamshinda na kaamua kunisamilia βHabari za saa hizi Broβ nlimjibu kwa utulivu. Akanambia β Samahani naweza kuuliza? β nikamruhusu aulize.
βwewe ndo gudume?β nlishtuka kidogo kwa kuwa hakukuwa na mtu yeyote anayefaham kuwa mimi ni gudume si ndugu si rafiki. Nikamuuliza kwani vipi? Akajibu βkuna bro mmoja jamiiforums anajiita gudume nliona kama unacomment kwa kutumia ID yakeβ nikamjibu mimi ndiye. Tuliamka na kukumbatiana kama vile ni marafiki wa muda mrefu waliopotezana na leo wamekutana. Kwa furaha kabisa.
Nlimaliza mambo yangu na kurudi nikamkuta akiwa pale kwenye sofa nikamwomba kama hatojali na ana muda twende wote tukapate lunch.inaonekana naye alikuwa amemaliza lililomleta hakufanya hiyana. Pamoja tukaenda kupata lunch tukipiga stories mbalimbali na visa na mikasa ya jamiiforums.
Hakusita kuelezea mshangao wake.. na kwa kushindwa kuamini kabisa alisema pengine si mimi maana ni mtu tofauti sana na wa JF (alikuwa na bahati kunikuta sober sijavuta mabhangi yangu na kunywa gongo ya mchanganyiko wa Petrol,JIK,Maji ya Battery, Hydrolic,Viroba na sabuni ya OMO) Na kunitaka nimkumbushe visa na mikasa miwili mitatu.tuliongea na kucheka sana. Kiuhalisia hata yeye alikuwa anaonekana ni kijana mstaarabu na si mwenye matusi kama anavyoonekana humu JF. Tukaishia kupeana namba za simu na tukaagana kwa Amani na upendo.
Wadau tuishi kwa Amani na Upendo. Tunayokutana nayo huku yaishie huku huku tu. Tunapokutana nje tuwe watu wenye Amani ,furaha na upendo.tusibebe chuki au hasira za humu ndani na kuhamishia katika maisha halisi.
Nmefurah sana kwa tukio hilo na naomba tuzidi kushirikiana
Power ya jamiiforums ipo ktk the unknown.ungemsemesha tu. ila sasa nmejifunza kuwa makini sana public.. maana sometime sisi wengine tunajisahau tukiingia jukwaa la siasa tunatema nyongo... bora tuwe tunashinda huku huku tu... sema ukikaa sena sehemu kama hizi akili zinaanza kuwasha..maana zinakuwa kama hazitumiki sana... anyway ungemsalimia mfahamiane maana nakujua wewe si mtu wa majanga.sisi wengine wahuni na wakorofi ndo hatupendi kufahamika.