habari zenu wapendwa. Pls msaada wenu wahitajika hasa madaktari wa ngozi, uso wangu umetoka pimples na zimeacha spots kibao, nimenunua persol cream nimetumia siku 1 tu, uso unavuta ka nimechanjwa viwembe, msaada tafadhali nitumie nn ngozi yangu irudi kawaida kuna mtu kanishauri nitumie beterdem oitment je itafaa? Msaada pls
Achana na hizo cream na sabuni zenye chemicals zitazidi kukuumiza jaribu kutumia vitu vya asili kama limao na tango kunawia pakaa mafuta kama olive oil utaona mafanikio
Ok!nimewahi kutoa post hum javin ya kutatua tatizo lako. Ningependa kukusaidia nitafute 0715720276 naamin hautojutia kama utayafanikisha nitakayo kuambia.
hivo vidoto vinaweza kutoka kw kutumia cream za depigmentation zinapatikana pharmacy, ila kwanza nenda kwa dermatology akupe ushauri bcuz tunatofautiana ngozi mwenzio inaweza ikamfa ww isikufae