Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu zinaweza kuwa nyingi labda umetumia kemikali kwenye sabuni au cream zenye lithium, iodides, bromides, steroids, ni vizuri kufahamu chanzo kabla ya kutumia kemikali zaidi maana labda unaongezea. Zilianza ghafla, ni tatizo la mara kwa mara ?

Preta i used to be very soft, ila nikabadili mazingira nikaenda mkoa wenye baridi, ndo zikaanza na kuuchafua uso wangu mama, yani kovus kibao hadi sina raha mwenzio, ila kwa ss nimerudi Dar
pole mumie..jaribu kutumia natural things,avoid kutumia vitu vya mafuta mengi, usiku safisha uso wako then lala bila kupakaa kitu inasaidia ngoz kufresh and Ukimpata dr. Bingwa wa ngoz takua vizur zaid sab kuna aina mbalimbali za ngozi na mahitaji yake...utakua poa tu ucjl mama..