uso wangu jamani

uso wangu jamani

hehe tumia obagi ya muke ya muzungu...wadau wa U turn hao
 
Sababu zinaweza kuwa nyingi labda umetumia kemikali kwenye sabuni au cream zenye lithium, iodides, bromides, steroids, ni vizuri kufahamu chanzo kabla ya kutumia kemikali zaidi maana labda unaongezea. Zilianza ghafla, ni tatizo la mara kwa mara ?
 
Sikuwahi kuwa na chunusi, nilisafiri ktk mkoa jirani zikaanzia huko. Nadhani maji na hali ya hewa sina uhakika wa 100;100 lakini kwamba hiyo yaweza kuwa 7bu
 
Sababu zinaweza kuwa nyingi labda umetumia kemikali kwenye sabuni au cream zenye lithium, iodides, bromides, steroids, ni vizuri kufahamu chanzo kabla ya kutumia kemikali zaidi maana labda unaongezea. Zilianza ghafla, ni tatizo la mara kwa mara ?

Sikuwahi kuwa na chunusi, nilisafiri ktk mkoa jirani zikaanzia huko. Nadhani maji na hali ya hewa sina uhakika wa 100;100 lakini kwamba hiyo yaweza kuwa 7bu. Yap
 
Preta i used to be very soft, ila nikabadili mazingira nikaenda mkoa wenye baridi, ndo zikaanza na kuuchafua uso wangu mama, yani kovus kibao hadi sina raha mwenzio, ila kwa ss nimerudi Dar

pole mumie..jaribu kutumia natural things,avoid kutumia vitu vya mafuta mengi, usiku safisha uso wako then lala bila kupakaa kitu inasaidia ngoz kufresh and Ukimpata dr. Bingwa wa ngoz takua vizur zaid sab kuna aina mbalimbali za ngozi na mahitaji yake...utakua poa tu ucjl mama..
 
Kula Parachichi na kulipaka Usoni muda ambao unajua utapumzika na uwe mnywaji wa Maji.
 
Hapa naona kuna ushauri wa kutumia vitu natural kabisa ambao nauunga mkono, ila naongezea kuhusu maji.

Kunywa Maji ya kutosha, kuna tabia ya watu wengi kutopenda kunywa maji, maji yanasaidia mno kulainisha ngozi, unakuta mdada ana ngozi laini ambayo imeharibiwa na kutokunywa maji, kunywa maji ya kutosha kwa siku, kama kwako ni tatizo jaribu kuwa na glass ya maji kila unapokuwa, hakikisha tu zinafika lita 5 per day......yeah ni ngumu basi angalau 4.

Piga maji ya kutosha hadi ukiingia kukojoa unaona kojo safiiiiiiiii, daily. Then in one week pamoja na ushauri wa vitu natural in a week, rudi hapa JF toa matokeo
 
pole mumie..jaribu kutumia natural things,avoid kutumia vitu vya mafuta mengi, usiku safisha uso wako then lala bila kupakaa kitu inasaidia ngoz kufresh and Ukimpata dr. Bingwa wa ngoz takua vizur zaid sab kuna aina mbalimbali za ngozi na mahitaji yake...utakua poa tu ucjl mama..

Thanx ma love
 
u better go n see a doctor.
Nadhani atkupa tiba na ushauri mzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom