uso wangu jamani

sababu ya tatizo ni nini...?...coz ipo kama hukuwa navyo sasa ndio vimetokea......
 
pole sana lady G, Mungu atakusaidia utapona. Nakushauri umuone doctor bingwa wa magonjwa ya ngozi. mia
 
asanteni kwa ushauri jamani, nitazingatia.
 
sababu ya tatizo ni nini...?...coz ipo kama hukuwa navyo sasa ndio vimetokea......

Preta i used to be very soft, ila nikabadili mazingira nikaenda mkoa wenye baridi, ndo zikaanza na kuuchafua uso wangu mama, yani kovus kibao hadi sina raha mwenzio, ila kwa ss nimerudi Dar
 
Hii imenikuta mie, sasa hivi nina madoa kama chui, ndo napambana navyo..... Ila mie natumia gel fulani, nikirudi home nitaisoma jina nikuandikie....


Preta i used to be very soft, ila nikabadili mazingira nikaenda mkoa wenye baridi, ndo zikaanza na kuuchafua uso wangu mama, yani kovus kibao hadi sina raha mwenzio, ila kwa ss nimerudi Dar
 
Onana na Dr., inawezekana hormone imbalance. Punguzu fatty foods
 
dada ni vìzur ukamwona daktar ili akwambie cha kufanya hz nyuso zinatofautiana kuna uso mkavu na uso wenye mafuta. so unaweza pata ushaur toka kwa mtu mwenye uso wa mafuta while wewe uso wako ni mkavu and vise versa hakika hutapona. nenda kwanza kwa dr.ujue uso wako upo kundi gan!
 
persol bana ina mashart mpenzi wangu yan haitakiw usugue ukiwa unapaka yan inaunguza ni hatariii my dear achana nayo tu .mi mwenyewe hapa uso wangu wamafuta basi nimeamua kuuacha tuu mana siuelewi
 
Tafuta mmasai akupe ule wanaopaka kwenye nywele (kiloriti). Changanya kidogo na powder ya kawaida. Paka usoni asubuhi na jioni utaona mabadiliko. Mwanangu alikuwa na chunusi nyingi sana ameona mabadiliko makubwa.
 
Dawa:ukiamka asubh osha uso kw maj y vguvgu kisha sugua na tango thn paka asali na ute w yai,acha vkauke afta 30min osha
 
Pole sana ndugu hilo tatizo ni la kawaida hata rafiki yangu lilimutokea alipona ndani ya siku mbili baada ya kufanya yafuatayo 1/alinunua mafuta ya chelehani na kupaka kila baada ya kuogoa 2/alinunua ketoconazole shampool kwa ajili ya kusafishia uso 3/ alienda kuogerea maji ya bahari kama kwa saa moja na baada ya kuogerea alipaka mafuta ya chelehani 4/alisitisha kutumia lotion zote na kutumia mafuta ya chelehani na veseline 5/ kuogea alitumia sabuni mwarobaini. Jaribu kufanya na wewe utapona
 
asanteni sana kwa michango yenu ya mawazo, hakika imenisaidia sana. Mzidi kubarikiwa wapendwa.
 
Nimekuta hii kitu mahali: Black Spots on Skin

 
Haya mambo ya kutibiana kwa maelezo mtandaoni bila kumuona mgonjwa, mpaka siku afe mtu hapa ndo tutatia akili... haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…