Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingewezekana ningeweka picha before and after.
Tumia epiderm tu mimi nilitumia hyo ikanisaidia pia maji kwa wingi.
wanawake hampendani hakika
kwa wanaume waliochangia ujinga kwa huyu bibie nimeshindwa kuwaelewa
Achana na madawa mama mtoto,kikubwa rudi kwenye lishe bora maji kwa wingi tafuna karoti,matango,maparachichi pia,
taratibu ngozi itajirudi.
Kuna mtu aliyekuzuia kurudi? Au nauli imekukataa??Jamani acheni kunikumbusha mamsera nakumbuka kitimoto ya pale kwa mwarabu 5yrs ago nimemiss sana
Jana nlikuwa Sia pale mpaka sita usiku..... usifanye mchezo na Gineshivi sikuhizi huendi bwagamoyo nimemiss kunywa makitu yeti pale sia
:llama::llama::llama::llama:Anamsifia mumewe eti anamtunza, kwani mtori wa dagaa unalainisha mzazi? hehehe hajui huyu mambo ya mamsera. Unakula kiburluu, na mkia wa kondoo ukitoka hapo kama mzungu vile!:llama::llama:
mmmh kweli wanawake tukiwezeshwa tunaweza. Asante kwa masereuu
Asante mkekuuu.Bi nyakomba wanawake wakiwezeshwa wataweza kwa lipi hapo mpora..
However chukua mdalasini ulosagwa kama vijiko vya kula. 2 na asali kijiko kimoja pamoja na mafuta ya mawese ama mzeitun ama olive oil kama yanavyojulikana.changanya pamoja kisha paka asubuh na jioni kila siku yaani wiki moja tu unakua kama mtoto uso safii kabisaa.ukishapaka kaa kwa lisaa ndipo unawe.
Pm jamani nina dawa
Sometimes you just have to let nature take care of it's course. Mtoto miezi 2 utapakakrim gani zaidi ya bioil/olive oil au babycare?
Ni hizi huwa ni hatua tu.
Hebu niwombee, nasinzia hata nikiwa natembea, sijui malale?
And who really cares how you look bwana, si unakuwa na targets zako mwenyewe?
Hehehe wewe inabidi tukuwombee haswa. Hebu tuma fungu la kumi kwanza, na another 5% manake usingizi ni pepo lol
Dah, sasa lako limekuwa fungu la kumi na tano? Naweza ku bargain? Ukimwona snowhite msalimie.
Tena hili ni pepo baya kuliko lote, hata ku login jf uvivu. Nimekwisha kwa kweli.
Cha ajabu mie ngozi imekuwa mkyuti than ever before, sasa sijui ni nini kinaendelea, kasheshe dayati imegoma, nakula hadi vijiko.
heeh, yaani na inflation yote hii unataka kutoa fungu la kumi tu? Toka enzi zile hadi leo? Hebu kaa rohoni bwana.
Hahaha natamani kukuona ulivyocyutika aisee. Usimuite snowhite nna kesi nae mbayaaaaa! Weeh endelea kula tu ntakuachia magauni urithi:A S 11::A S 11:
Habari Ndugu zangu.
Uso wangu umefubaa baada ya kutoka uzazi na hauvutii. chunusi na mabaka kwa wingi. yani nimeparara haswa.
nitumie nn niwe smooth. mie ni mweusi. thanks in advnce