Uso wangu unang'aa sana tofauti na sehemu nyingine za mwili, tatizo linaweza kuwa nini?

Uso wangu unang'aa sana tofauti na sehemu nyingine za mwili, tatizo linaweza kuwa nini?

Unaoga vizuri na kupaka mafuta mwili kote ama uso tu ndio unapewa kipaumbele?..

Penda mwili wote
 
Unaoga vizuri na kupaka mafuta mwili kote ama uso tu ndio unapewa kipaumbele?..

Penda mwili wote
Kote natoa priority sawa.. but sijui inakuaje.. ama ndo nilivozaliwa?
 
Mcheki Christina Shusho. Yeye anasema Yesu kamfanya ang'are sasa cheki na Shusho pengine Yesu akianza kukung'arisha mchakato unachukua muda.
 
Samahi naomba unitumie pcha yako pm ili niweze kubain kama ni tatizo au siyo
 
Nawasalimu wanajamvi wote!

Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, Mimi ni jinsia KE na kuna kitu kimoja kinachonitatiza kuhusu ngozi yangu tangu nimeanza kujitambua katika kukua kwangu. Yaani mtu akiniangalia Usoni ninang'aa sana compared to other parts of the body kama miguuni na mikononi.

At first nilidhani huenda ni aina ya mafuta ninayoyatumia labda, maana Mimi si mpenzi wa kutumia lotion sana hasa katika mazingira ya joto. Nimebadilisha sana mafuta lakini wapi! Ndo Kwanza sura inazidi kutakata mpaka watu wanaonizunguka wanahisi maybe natumia mkorogo but NO!

Sasa najiuliza ngozi yangu inaweza kuwa na shida gani? Je ni muhimu labda kwenda kumuona daktari wa ngozi? Maana hii hali siifurahii kwa kweli.

Nawasilisha kwenu.[emoji120]





Sent using Jamii Forums mobile app
Ukianza kufa dalili huwa unang'aa uso
 
Back
Top Bottom