Uso wangu unang'aa sana tofauti na sehemu nyingine za mwili, tatizo linaweza kuwa nini?

Unaoga vizuri na kupaka mafuta mwili kote ama uso tu ndio unapewa kipaumbele?..

Penda mwili wote
 
Unaoga vizuri na kupaka mafuta mwili kote ama uso tu ndio unapewa kipaumbele?..

Penda mwili wote
Kote natoa priority sawa.. but sijui inakuaje.. ama ndo nilivozaliwa?
 
Mcheki Christina Shusho. Yeye anasema Yesu kamfanya ang'are sasa cheki na Shusho pengine Yesu akianza kukung'arisha mchakato unachukua muda.
 
Mcheki Christina Shusho. Yeye anasema Yesu kamfanya ang'are sasa cheki na Shusho pengine Yesu akianza kukung'arisha mchakato unachukua muda.
Jamani..
 
Samahi naomba unitumie pcha yako pm ili niweze kubain kama ni tatizo au siyo
 
Ukianza kufa dalili huwa unang'aa uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…