Usomaji mita za maji dawasa

Usomaji mita za maji dawasa

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu jamani ,napenda kuuliza izi ajira za usomaji wa mita za maji dawasa jinsi ya uombaji wake na upatikanaji wake wa ajira ukoje.......
 
Tangazo wameliweka kwenye mtandao au hatuioni hiyo fursa mkuu
 
Tembelea sana idara za maji...hasa makao yao ya majiji,mkoa au wilaya...tofauti na ivyo hautopata kazi inatangazwa mtandao.
 
Tembelea sana idara za maji...hasa makao yao ya majiji,mkoa au wilaya...tofauti na ivyo hautopata kazi inatangazwa mtandao.
Last time mbona tuliona Moruwasa wametangaza utumishi Na nina washikaji wa zangu wamepita bila kujikomba komba uko maofisini haya mambo ya ofisi za umma kujaa mpwa sijui mjomba sijui baba mkubwa ndio yanaturudisha nyuma ofisi inabaki kuwa soga la kupiga majungu Na dili
Bora through utumishi Mtu anapenya from nowhere Anaweza kuwa tasked multiple inshu Na akarudisha entity kwenye line
 
Back
Top Bottom