Last time mbona tuliona Moruwasa wametangaza utumishi Na nina washikaji wa zangu wamepita bila kujikomba komba uko maofisini haya mambo ya ofisi za umma kujaa mpwa sijui mjomba sijui baba mkubwa ndio yanaturudisha nyuma ofisi inabaki kuwa soga la kupiga majungu Na dili
Bora through utumishi Mtu anapenya from nowhere Anaweza kuwa tasked multiple inshu Na akarudisha entity kwenye line