Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha msingi set saa yako kiswahili, mshale ukikaa kwenye 12 hiyo ni saa 12! Mimi saa yangu nimeset hivyo, maisha ni kupanga na kuchaguaHabar zenu wana jamvi nilitaka kujua hivi Tanzania tunasoma saa kwa kufuata majira ya nchi gan maana wazungu hawasom kama sis mfano ikifika saa 6 kamili saa inaonesha 12 kizungu wanasema six o'clock ila kibongo tunasema saa 12 wakati namba inayonekana ni 6