Usomaji wa saa na maana yake

Usomaji wa saa na maana yake

clap

Senior Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
188
Reaction score
97
Habar zenu wana jamvi nilitaka kujua hivi Tanzania tunasoma saa kwa kufuata majira ya nchi gan maana wazungu hawasom kama sis mfano ikifika saa 6 kamili saa inaonesha 12 kizungu wanasema six o'clock ila kibongo tunasema saa 12 wakati namba inayonekana ni 6
 
Cha msingi set saa yako kiswahili, mshale ukikaa kwenye 12 hiyo ni saa 12! Mimi saa yangu nimeset hivyo, maisha ni kupanga na kuchagua
 
Back
Top Bottom