Habar zenu wana jamvi nilitaka kujua hivi Tanzania tunasoma saa kwa kufuata majira ya nchi gan maana wazungu hawasom kama sis mfano ikifika saa 6 kamili saa inaonesha 12 kizungu wanasema six o'clock ila kibongo tunasema saa 12 wakati namba inayonekana ni 6