Uspika wa Dkt. Tulia Ackson umedhihirisha yeye ni mtu wa namna gani

Siku ndugai alipo jiuzulu tu kwa pressure kutoka serikalini nikajuq amna kitu hapa
 
Bandiko refu mno, ulipaswa kuandika hata kwa aya moja tu na ukaeleweka.
 
hiki ulichoandika umetoa kwenye reference gani. Mbona unapotosha
 
Uzi umesheheni kila kitu, siongezi neno
 
Pascal, una uhakika ile IGA ya hovyo ilikuwa abandoned? Ina maana hakuna IGA kabisa au ilirekebishwa?
 
Kaka Paschal IGA ni mkataba wa awali wa biashara ya pande mbili,, Tanzania na Dubai, mle ni kama skeleton tu hakuwekwi vipengele vizito vya kibiashara.

Mikataba iliyokuja kusainiwa mbele ya Rais SSH ndio yenye habari pana ya kibiashara, IGA hata hao waarabu walipogundua kuwa imevuja hawakujihangaisha kwa sababu mle hakuwekwi vifungu vizito vya kibiashara.

Sio kwamba IGA ilibadilishwa kwa sababu ya kelele zetu, hapana. Ni utaratibu wenyewe wa kimikataba ilibidi ufuate mkondo wake.
 
Pascal, una uhakika ile IGA ya hovyo ilikuwa abandoned? Ina maana hakuna IGA kabisa au ilirekebishwa?
IGA ni skeleton tu, mle hakuna financials zinazoandikwa. Ndio maana waarabu hawakuhangaika walipojua imevuja kwa umma.

Mkataba mkubwa ni ule uliosainiwa mbele ya Rais na kiongozi wa DPW, mle ndio kunawekwa siri za kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…