IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.
Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka
Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?
"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...