Ustaa wake tu ndio unakufanya umuone Malaya,wako yuko hivohivo

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.

Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka

Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?

"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...
 
Mambo kuzidiana wallah,.kuna wengine wanajiachia saaana hawana lila wala fila,yeye hewala tuu..

Kila mtu apambane na viungio vyake vya mwili..
 
Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.

Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka

Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?

"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...
heshima kwako mkuu. Unenichekesha sana hapo form 2 failure 2011.

Pia nisamehe sana sometimes kuingia anga zako humu kwa kukuchokonoa tuanze ligi.

Kwa hekima unanijibugi kwa staha na mara nyingi unanipuuza hata nikikutag.

Aminia na pamoja bro👊
 
Aminia na pamoja bro[emoji109]
Aaaah aaaaah
 
Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.

Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka

Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?

"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...
Hahaha hiyo aya yako ya mwisho imenivunja mbavu "..
 
Wema na Diamond ni Malaya wa asili hawachagui chochote Cha mbele yao wanapiga
 
Back
Top Bottom