Umetembea na wangapi nipe uzoefu
heshima kwako mkuu. Unenichekesha sana hapo form 2 failure 2011.Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.
Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka
Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?
"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...
Aaaah aaaaahheshima kwako mkuu. Unenichekesha sana hapo form 2 failure 2011.
Pia nisamehe sana sometimes kuingia anga zako humu kwa kukuchokonoa tuanze ligi.
Kwa hekima unanijibugi kwa staha na mara nyingi unanipuuza hata nikikutag.
Aminia na pamoja bro[emoji109]
Sikushikii fimboHuna uwezo huo thubutu yako
Ila wapi Ndo kunabikra?Hakuna bikra jf
Aaaah thubutuPrimary school mwisho darasa la3
Hahaha hiyo aya yako ya mwisho imenivunja mbavu "..Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.
Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka
Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?
"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...
hlw "... super vipi kule Tayari ehh !!?Mambo kuzidiana wallah,.kuna wengine wanajiachia saaana hawana lila wala fila,yeye hewala tuu..
Kila mtu apambane na viungio vyake vya mwili..
Bado super sugar..subiri subirii eehhlw "... super vipi kule Tayari ehh !!?
Hahaa wee nitakuroga ujue !!Bado super sugar..subiri subirii eeh