Ustaa wake tu ndio unakufanya umuone Malaya,wako yuko hivohivo

Well said and watz tumekua mahakim wa maisha ya watu wengne akati yapo tunayofanya sisi na zaod ya wafanyayo!
 
Hata wewe ndo ungekuwa domo.. madem wanajilengesha wenyewe!... sasa yeye afanye nini??....
"Vunja mifupa "
 
Wapuuzi hao wanatangaza na kuringishia kila anayewachovya.
Tabia gani hizo?
Jukwaani hapa kuna habari ya Zari kajitangaza na kibuzi chake kipya, wema naye kafanya hivo hivo.
Ila tofauti ya 'mtu' wa Zari na wa Wema ni mbingu na ardhi.
 
Hao ni Malaya, mtu kama Wema wanaojulikana ni sehemu ndogo tu, wanaojipigia kimyakimya ni wengi
 
Yaani watu kama akina Wema,Aunty Ezekiel n.k,wanaopiga na hawajulikani unakuta ni wengi sana... usiangalie wale wanaoonekana tu,yaani unaowajua.
 
Waasanii ni kiooo cha jamii.. mbona wasanii wa bongo wamezidi hawajifunzi kwa wanigeria hawana umalaya wa kipuuzi kama wa wenzetu Tanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…