Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
๐๐๐๐๐kisaa??uuwwiiHahaa wee nitakuroga ujue !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐kisaa??uuwwiiHahaa wee nitakuroga ujue !!
si hautaki kuitibu kiu Yangu๐๐๐๐๐kisaa??uuwwii
Wapuuzi hao wanatangaza na kuringishia kila anayewachovya.Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.
Amini nakuambia huyo unayemuona si Malaya ni hatari zaidi ya hao akina wema.
Inawezekana Mme/mke Wako anafanya hivo hivo we hujui moyo ni kichaka
Mpaka we unaoa/ kuolewa nae possibly katembea na kijiji....mapenzi hayana shombo huwezi kujua...
Jiulize tangu uanze mapenzi umetembea na wangapi?
"Tusihukumu"
Form2 failure 2001...