Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kufuatilia kesi za hao wanaodakwa hapo Muhimbili kama madaktari feki, hao wako kazini na wala hawafungwi jela1. Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Juma amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?
2. Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama?
Kitambo mno sijui kama jamaa alifungwa au kesi iliisha juu kwa juuHii ya longi sana.
Huyu ni islamiaDini gan?
Cc adriz gammaparticles Mlolongo hydroxo Malaria 2 incharge Jagina mjingamimi inamankusweke FaizaFoxy Covax Adiosamigo WebabuMwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama?
Prof Janabi dhibiti Hawa kama uhusiki
Hili THE BIG SHOW ni kati ya serious maamuma yaliokubuhu. Na kweli itakuwa ni yeye tu au Ritz zombie boy.Unaweza kukuta ni The Big Show 😀
Unaweza ukatupatia maelezo kidogo kuhusu suala hili??Ushawahi kufuatilia kesi za hao wanaodakwa hapo Muhimbili kama madaktari feki, hao wako kazini na wala hawafungwi jela