Ustaadh ajifanya Daktari na kutapeli wagonjwa Muhimbili

Ustaadh ajifanya Daktari na kutapeli wagonjwa Muhimbili

Mara kulawiti watoto, Mara kutapeli?

Juzi kule Kagera kuna Ustadh mmoja ameshitakiwa kwa kulawiti watoto 6 wa primary schools

Wanatuchafulia dini ya hakhi

Innallilah......!
 
Nakumbusha tu kwenda kuswali sala 5 kwa siku ni utamaduni tu, sio utakatifu, sio usafi.
Kuvaa kanzu nyeupe ni utamaduni tu, sio utakatifu, sio usafi.
Kuvaa koti la Udaktari haikufanyi kuwa daktari.
 
Misaada ya kukwepa kodi na kuuza madawa ya kulevya?
HAPANA,NENDA HOSPITAL ZOZOTE NCHI HII KAMA AMANA,MUHIMBILI NA KADHALIKA,SISI TUNATOA HUDUMA KWA WAGONJWA,KAMA CHAKULA,SABUNI,DAWA,NGUO NA KADHALIKA,HUDUMA ZETU SISI HATUNA HAJA YA KUCHUKUA PESA ZA WIZI AU KUKWEPA KODI,TUNAJICHANGA WENYEWE NA KUSHIRIKISHA WADAU MBALI MBALI WANAOTAKA KUTOA SADAKA,HATA KAMA WEWE UNAHITAJI KUIUNGA NA HUDUMA ZETU KUCHANGIA KARIBU UNAKARIBISHWA
 
Sasa zinasaidia nini hizo sadaka baada ya kuuza madawa ya kulevya na kukwepa kodi?
 
Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama?

Prof Janabi dhibiti Hawa kama uhusiki
Hakuna namna, ukitaka pesa vunja sheria za nji.

Ajitokeze kiongozi na aseme maisha bora aliyonayo yanatokana na pato halali.

Na kwann kila mwaka CAG analeta ripoti mpya za ufisadi na watendaji wakuu wa serikali wako kimya

Hakuna namna wote na wanasiasa ni wezi na matapeli
 
Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama?

Prof Janabi dhibiti Hawa kama uhusiki
Wakati hii habar inatoka ulikua huna smart phone ? Kama ni Dr fake bhc ni ustadh fake pia
 
Naomba huyu anaeaema yeye ustadh , mtu yoyote yule amtafute ikisha amwambie asome Alhamdu tuu pekee yake, na akiweza ninatoa ahadi ya laki tano.
Mkiambiwa nanyi jiambieni, muwe na uwezo na upeo wa macho.
Chuki zinadhoofisha fahamu.
 
Back
Top Bottom