Ustaarabu wa mwanzo Tanzania ulikuwa wapi? Tanganyika au Zanzibar?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Kihistoria, ustaarabu wa mapema zaidi katika eneo la Tanzania ulianza zaidi pwani, hasa Zanzibar na miji ya pwani ya Bahari ya Hindi.

Zanzibar
Zanzibar ilikuwa sehemu ya:
Ustaarabu wa Waswahili (Swahili Civilization)
Biashara ya kimataifa (Waarabu, Waajemi, Wahindi, Wazungu)
Miji ya mawe (Stone Town)
Utamaduni wa Kiislamu na Kiarabu uliokita mizizi mapema
Mfumo wa soko na bandari za kimataifa

Hii inafanya Zanzibar kuwa sehemu ya ustaarabu wa mapema wa pwani ya Afrika Mashariki

Bara (Tanganyika)
Tanganyika ilikuwa na:
Jamii nyingi za asili zenye ustaarabu wa kikabila
Ustaarabu wa kilimo, ufugaji na chuma (Iron Age societies)
Miji ya ndani iliendelea polepole zaidi kuliko pwani
Maendeleo ya miji mikubwa yalianza zaidi wakati wa ukoloni.
 
Uko mbeya wasafwa hadi leo wanakunya nje tena mbeya mjini kabsa sio polini, wanajengea nyumba bila choo kabsa yani
 
we mnzabari utaKufa kifo kibaya mwezi huu
 
Leo mmeanza kuhoji nani kaanza kuwa mstaarabu.
Kweli Zanzibar na Tanganyika sio nchi Moja.
Muungano ni jina tu
 
Hizi chokochoko za Wazanzibari nazipenda sana zinasaidia anguko la CCM na Muungano.
 
Mjeruman aliona mbali kuwekeza elimu Tanganyika
Pengne aliona structure ya vichwa akajua hamna Jambo
 
Uko mbeya wasafwa hadi leo wanakunya nje tena mbeya mjini kabsa sio polini, wanajengea nyumba bila choo kabsa yani
Pwani kuna sehemu wanakunya kwenye fukwe za bahati hadi unaposoma hapa.
 
Kwa mpangilio wa "aliyetangulia" katika Tanzania ya leo
Unguja Ukuu — karne ya 6–7 BK.
Kilwa Kisiwani — karne ya 7–8 BK.
Pwani ya Tanga — karne ya 8–10 BK.
Mikindani — karne ya 10–12 BK.
Bagamoyo — karne ya 18 BK.
Kwa hiyo, kwa ushahidi wa sasa wa akiolojia katika Tanzania ya leo, Unguja Ukuu (Zanzibar) inaonekana kuwa miongoni mwa vituo vya mwanzo kabisa vya biashara ya kimataifa na ustaarabu wa Kiswahili, ikitangulia kidogo Kilwa Kisiwani, ingawa Kilwa baadaye ndiyo ilikuja kuwa dola na mji wenye nguvu zaidi kiuchumi katika pwani yote ya Afrika Mashariki.
 
Ukisoma Periplus of the Erythraean Sea, Kitabu Cha Wagiriki Cha Karne ya Kwanza, kulikuwa na Dolanya Azania mahali ambapo mto mkubwa unaingia bahati ya Hindi huku ukiwa opposite na Kisiwa Cha Menothius. Huu mto umeanzia mbali ambako Kuna Mlima wa Mwezi na mahali ambako Kuna Chanzo Cha mto Nile.

Kama Wagiriki katika Karne ya Kwanza walikuta Dola ya Azania huku Tanganyika, definitely kulikuwa na maisha mengi tuu yaliyokuwa yakiendelea kabla hata ya Yesu kuzaliwa.
 
Sasa hivi hali ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…