King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umefurahi?
Kwani vyanzo vyake vya mapato vilikuwa vipi?
Utapeli wa kujifanya mganga wa kuleta utajiri pamoja na wizi wa kutumia funguo malaya.
Ni mganga wa kuleta utajiri na nguvu za kiume pia.Nilisikia zile pesa alizofanyia fujo mjini alimtengenezea dawa muheshimiwa fulani ya nguvu za kiume ndio akalipwa mil. 400 na ushee.
Hizi habari alinipa best ake ambaye naye kazi yao ni hiyo hiyo ya utapeli.

Mhhh
Dawa ya kiume ndo milioni400 kwa mtu mmoja?
Hapa rafiki yako alikuuza
mpuuzi milioni mia 4 aliiona nyingi...!!!
ama kweli pesa bila mipango!!
PNC kathibitisha nn jaman???? Hebu acheni kumchonganisha huyo mtoto coz hta yy kasema hzo habar anaziskia2 wala hajui lolote mweh!