Ustadh Juma na Musoma Afulia

Ustadh Juma na Musoma Afulia

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu,

Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha.

Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.
 
Haja renew tu. Ata renew then atasikika tena
 
PNC kathibitisha nn jaman???? Hebu acheni kumchonganisha huyo mtoto coz hta yy kasema hzo habar anaziskia2 wala hajui lolote mweh!
 
hivi kuwakusanya vijana na kuwapa laki 2 za mtoko na kuwarekodia wimbo kwa lebo nayo ni sifa ya kuitwa tajiri ? Labda sijui nini maana ya Tajiri sifa za kijinga zinaua watu.
 
Utapeli wa kujifanya mganga wa kuleta utajiri pamoja na wizi wa kutumia funguo malaya.

Ni mganga wa kuleta utajiri na nguvu za kiume pia.Nilisikia zile pesa alizofanyia fujo mjini alimtengenezea dawa muheshimiwa fulani ya nguvu za kiume ndio akalipwa mil. 400 na ushee.
Hizi habari alinipa best ake ambaye naye kazi yao ni hiyo hiyo ya utapeli.
 
Mhhh
Dawa ya kiume ndo milioni400 kwa mtu mmoja?

Hapa rafiki yako alikuuza
 
Ni mganga wa kuleta utajiri na nguvu za kiume pia.Nilisikia zile pesa alizofanyia fujo mjini alimtengenezea dawa muheshimiwa fulani ya nguvu za kiume ndio akalipwa mil. 400 na ushee.
Hizi habari alinipa best ake ambaye naye kazi yao ni hiyo hiyo ya utapeli.

mpuuzi milioni mia 4 aliiona nyingi...!!!
ama kweli pesa bila mipango!!
 
mpuuzi milioni mia 4 aliiona nyingi...!!!
ama kweli pesa bila mipango!!

Umeona eeh? Nilimuambia best ake amshauri huko kwenye mziki atafilisika tu hakunisikia.
Mhhhh, ngoja ninyamaze watu wasiunganishe dots hapa wakanijua bureee...lol
 
PNC kathibitisha nn jaman???? Hebu acheni kumchonganisha huyo mtoto coz hta yy kasema hzo habar anaziskia2 wala hajui lolote mweh!

Unafikiri atakubali akihojiwa? Kama amezisikia ndio hivyo mtu wako majalala.
 
Back
Top Bottom