Ustawi wa jamii


Punguza JAZBA.... Halafu mwaka kesho mnakumbushia......
 
Jamani pole sana.Lakini sasa sisi wengine story hatuijui hebu irudie labda twaweza kushauri
 
tatizo ni nini haswa? Mpaka utamani kwenda ustawi wa jamii? Hebu tusimulie mkasa mzima?
 
Pole sana.Kumbusha kidogo mkasa.Hata hivyo usihofu naamini hata humu ndani wapo watu wa ustawi wa jamii.Utasaidiwa tu.
 
pole sana Unlucky....sijui hata nikusaidiaje,kwani ile talaka aliyosema atakupa ameshakupa tayari?....mnh wanaume wengine wana roho za korosho kwa kweli....utamnyanyasaje mama wa watoto wako namna hio.....kama unaona huwezi kumove on unlucky consider kuwa mke wa pili wa huyo bwana hata kama hupendi for the sake of your children.......
 
pole ila ustawi ujue ndio mnaachana ivo ukienda kule mana mnaanzia pale zen mnapewa barua ya mahakamani kutangana kabisa
sema ustawi itakusaidia ww kuwa na umiliki halali wa mali mlizochuma
alafu shost ushauri wa bure badili jina hilo mana unlucky ndio umekua unlucky kweli
 

hahahah.. Aminata bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…