Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari zenu ndugu zangu mie unlucky nimerudi tena nadhani kipindi mlisoma mikasa yangu navyonyanyasika na mume leo yamenizidia naomba msaada nataka nipaginie haki yangu na watoto wangu naomba mnifahamishe hii ustawi wa jamii iko wapi na nitasidiwaje na je hawana tamaa ya rushwa siyo waje kunigauzia kibao baada ya kupewa rushwa na huyu mwanaume mie sina chochote sina pakwenda na wanangu naomba tafadhali mnisaidie
tatizo ni nini haswa? Mpaka utamani kwenda ustawi wa jamii? Hebu tusimulie mkasa mzima?
pole ila ustawi ujue ndio mnaachana ivo ukienda kule mana mnaanzia pale zen mnapewa barua ya mahakamani kutangana kabisa
sema ustawi itakusaidia ww kuwa na umiliki halali wa mali mlizochuma
alafu shost ushauri wa bure badili jina hilo mana unlucky ndio umekua unlucky kweli