Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko kwenye vituo vya afya.
Pili, wamiliki wa maduka ya dawa wanachangia kwakuwa hawawameneji wahudumu wao kutotowa dawa bila maelezo ya daktari,na hii ni kwasababu za kibiashara.
Ushauri serikali iweke utaratibu madhubuti ktk hili na kukataa rushwa.
Tatu, wauzaji wa maduka ya dawa kujifanya madaktari na pia wakati mwingine hawatowi maelezo ya utumiaji vizuri ye anaandika tu.Ushauri waandike na kuelekeza.