Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima ubadilishe brake pads maana zimeisha sana kiasi cha kubaki chuma tu na hapo ndio msuguano unatokea, unaharibu zaidi hapo ukoendelea kuendeshaHabarini wandugu,
Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad.
Tatizo huenda likawa nini?
asante sana mdau.Ni lazima ubadilishe brake pads maana zimeisha sana kiasi cha kubaki chuma tu na hapo ndio msuguano unatokea, unaharibu zaidi hapo ukoendelea kuendesha
Na pia ni hatari kwa usalama wako pia
Ajali iko karibu sana
Itakugharimu zaidi usipobadilisha haraka
Peleka garage haraka sana usije kufa View attachment 2516921
Disc rotor imechimbika,haiko smooth.Habarini wandugu,
Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad.
Tatizo huenda likawa nini?
Gari hio brake disc aka disc rotor zimeisha sio brake pads. Hata akiweka brake pads mpya itaendelea ku-vibrate.Ni lazima ubadilishe brake pads maana zimeisha sana kiasi cha kubaki chuma tu na hapo ndio msuguano unatokea, unaharibu zaidi hapo ukoendelea kuendesha
Na pia ni hatari kwa usalama wako pia
Ajali iko karibu sana
Itakugharimu zaidi usipobadilisha haraka
Peleka garage haraka sana usije kufa View attachment 2516921