Usukani ku vibrate wakati wa kufunga brke

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wandugu,
Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad.
Tatizo huenda likawa nini?
 
Ni lazima ubadilishe brake pads maana zimeisha sana kiasi cha kubaki chuma tu na hapo ndio msuguano unatokea, unaharibu zaidi hapo ukoendelea kuendesha

Na pia ni hatari kwa usalama wako pia
Ajali iko karibu sana
Itakugharimu zaidi usipobadilisha haraka
Peleka garage haraka sana usije kufa
 
asante sana mdau.
 
Habarini wandugu,
Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad.
Tatizo huenda likawa nini?
Disc rotor imechimbika,haiko smooth.
 
Gari hio brake disc aka disc rotor zimeisha sio brake pads. Hata akiweka brake pads mpya itaendelea ku-vibrate.
 
Mimi nakumbuka ilikua inafanya hivo, tukaenda garage kucheki brake pads zilikua zimeisha kabisaa. Tukanunua mpya tukafunga mpakw leo nadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…